Header Ads

NEWS: UJERUMANI YAILAZA ITALIA KWA PENALT



Usiku wa kuamkia July 3 wakati wa michuano ya ligi ya Euro ikienddelea ambapo usiku wa kuamkia leo Ujerumani ilikuwa inachuana na Italy mechi iliyokuwa na ladha tofauti na kuwa na machi ya kuviziana sana kwakuwa Italy ni mafundi wa kukaba na kutengezeza mbinu wakati Ujeruman wao ni mafundi wa mipango hasa wakiwa katikati. 


Mechi hiyo ilikuwa ni ya kusisimua sana baada ya ujerumani walipo pachika goli la kwanza kupitia kiungo mshambuliaji mahiri Mosut Ozil amabo baadae italia walirudisha kwa mkwaju wa penalty dk 63 na kutupeleka mpaka dk 120 na kumalizika kwa ujerumani kuondoka na ushindi na kusonga mbele zaidi.

 
Leo july 3 mida ya saa 4:00 usiku itakuwa kati ya Ufaransa vs island  ambapo atakae shinda hapo atatimiza idadi ya timu nne ambapo tayari tunamsubiri mshindi wa ureno na wales ili kumjua atakae tinga final.

No comments

Powered by Blogger.