Header Ads

NEWS: KAYUMBA JUMA AMUUMBUA FELLA KUHUSU ULE MKWAJA ALOSHINDA.....(SOMA ZAIDI)

Alieshinda mashindano ya Bongo Star Seach 'Kayumba Juma' amefungaka wazi kuwa kwa sasa kile kiwango kilichotajwa na mkubwa Fella sio sawa kwa kuwa matumizi ya meshatumia na mambo mengine mengi tu.


 

"Unajua tukisema eti pesa zipo kama alivyosema mkubwa sio kweli tutakuuwa tunadanganya kwakwa mambo yamefanyika ni mengi na hata nyumba inaendela hivyo sasa mkubwa alichosema hikuwa sawa kwakuwa imeshatumika sana tu tofauti na vile nilivyopewa na Bongo Star Seach.

No comments

Powered by Blogger.