Header Ads

CHIDI BENZI AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU ALIVYO TESWA NA MADAWA YA KULEVYA

“Dawa za kulevya kwangu zinabaki kuwa historia, sitaki hata kuzisikia zimeniumiza sana kimawazo, zimenidhalilisha na zimepoteza mwelekeo wa maisha yangu, sina hamu nazo tena nina hasira nazo siwezi kuzirudia kwa sasa naangalia maisha yangu mapya katika muziki,” - Chid Benz.


No comments

Powered by Blogger.