Header Ads

NEWS: MAN U YAMSAJILI ZLATAN IBRAHIMOVIC' AWAPA SALAMU WABEKI WAZEMBE

Timu ya Manchestar United ndio ndimu pekee inayoongoza kufanya juuhudi za  Usajili katika ligi hiyo kwa kuwasajili wachezaji bora na wachapakazi katika timu.

 

Mnchestar united imeanza juhudi hizo punde tu alipotambulishwa 'Mourinho' kuwa kama kocha mpya atakaye kinoa kikosi hicho Cha mashetani wekundu.

Usiku wa kuamkia July 1 ya mwaka huu 'Zlatan Ibrahimovic' alianguka saini ya mwaka mmoja kuichezea timu hiyo.licha ya timu hiyo kumnyakuwa Mswedeni huyo akitokea club tajiri ufaransa 'Paris sant German PSG'pia man u wako mbioni kumsajili kiungo mahiri wa timu ya 'Juventus' Pogba, Kwa usajili huu wa kishindo ka kocha mwenye majisifu mna majigambo akiw uwanjani au hata nche ligi ya England itanoga sana msimuu huu kwa kuwa ni kocha mwenye mifumo tofauti na makocha wengi tulio wazowea kuwaona pia.

 

 

No comments

Powered by Blogger.