Header Ads

JE! WEWE UNAPENDA KUPERUZI ILI KUPATA HABARI, SOMO HILI LINAKUHUSU.

Habari yako Mtanzania na Mzalendo wa taifa,hii ni habari njema amabyo inakuja kwako kuanzia tarehe 18/7/2015 yatafanyika marekebisho makubwa kwenye blog yako hii.

Tanzania imegubikwa na mambo mengi ambayo mtanzania unapaswa kuyajua na nikiwa kama mtu niliejitolea kuisaidia jamii kupata habari sasa naona ni muda mzuri wa kuendelea kupata habari nyingi zaidi tofauti na mwanzo ilivyokuwa hapo awali.Kama ni mtembeleaji mzuri wa blog hii utakuwa umegundua ALCHAMA MEDIA ilikuwa imejikita kwenye vitu viwili tu.
1:Muziki      audio & video
2:Story za wasanii

Kupitia hayo mimi na wanao saidia kufanikisha jambo hili ili kuendelea kupata habari zaidi hii inakuja kwako sasa ukiwa kama ni mtu ambae unaifutilia nchi na mambo mengi ya kidunia unaitaji kuyajua.hivi ni vipengere vipya ambavyo vitakuwa vinakufikia popote na kila siku panapo Majaaliwa.
NEWS..SIASA...UCHUMI..MICHEZO...UDAKU...SKENDO...NA KUBORESHWA KWA CHENEL YA YOUTUBE.


Mimi na wewe naomba tuungane moja kwa moja ili tuhakikishe tunapata habari za uhakika kila siku..Asante


 weka EMAIL yako hapa niwe nakutumia Habari zote INBOX kila baada ya muda ! USIKUBALI KUPITWA MTU WANGU>>allyalmas96@gmail.com

JE? ulipitwa na taarifa yoyote na bado unatamani kuijua Zaidi basi Karibu bado unanafasi  ya kupitia yote hayo kwakuwa blog yako imekukumbuka na kukuifadhia mambo haya muhimu.Pitia account hizi ili Uwe karibu zaidi na habari zote Zinapotoka Zikufikie Hapo kwa papo.
FACEBOOK PAGE ....INSTARGRAM....TWITTER.

No comments

Powered by Blogger.