Header Ads

WAZIRI MKUU KUTOA SOMO LA UWEKEZAJI NA UCHUMI

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA anatarajiwa kufungua Kongamano la siku mbili litakalo jadili na kutoa maoni juu ya mpango wa serikali wa kuongeza ushiriki wa watanzania kwenye uwekezaji na uchumi
 
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Hamis Mwinyimvua amesema  kongamano hilo litafanyika kuanzia Alhamisi wiki hii jijini DSM ambapo washiriki watajadili na kutoa maoni juu ya mpango wa watanzania kushiriki kwenye uwekezaji na uchumi.


Naye Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi –NEEC-, Beng’i Issa amesema kongamano litakuwa na washiriki 350 kutoka sekta ya umma na binafsi.

No comments

Powered by Blogger.