Header Ads

MTV WAMVULIA KOFIA DIAMOND PLATNUMZ WAMUANDIKA HAYA KWENYE UKURASA WAO

Siku tatu tuu baadaya 'DIAMOND PLATNUMZ' kuachia nyimbo yake mpya alokuwa amewashirikisha P SQUARE.Imevunja record katika video zinazoobwa zaidi na wameamua kuandika ujumbe unaonyesha kumkubali sana msanii huyo
mond bin ladn
MTV wameweka bayana kabisa kuwa ukizungumzia Lebo basi WCB ni Leble bora amaboyo inajulikana na wasanii wengi nchini na duniani


No comments

Powered by Blogger.