Header Ads

MABASI YA CITY BOY YAGONGANA USO KWA USO YAUWA WATU ZAIDI YA 24

Leo siku ya Ijumaa tatu mnamo majira ya saa tisa za mchana Tanzania imeingia kwenye simanzi zito baada ya kupoteza ndugu na jamaa zaidi ya watu 24 wamekufa hapo kwa papo na kusababisha simanzi kwa waTanzania wengi.
 Baadgi ya majina ya marehemu bado hayajambulika kwa sasa kutokana na gari hizo kugongana uso kwa uso yalikuwa ni magari ya 'City Boy' na yote ni magari ya kampuni moja .


Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania ameonyeshwa kuguswa na Swala hilo na kujitolea salamu za rambirambi kwa wafiwa wote.

No comments

Powered by Blogger.