Header Ads

NEWS:ZITTO KABWE'' MAGUFULI ATAKUWA RAISI WA AWAMU MOJA' KWAKUWA AM........(SOMA ZAIDI)

Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema udikteta anouonyesha Rais John Magufuli ndio kitanzi cha kumfanya awe Rais wa muhula mmoja, kwa kuwa wananchi hawatakuwa tayari kumvumilia uchaguzi ujao....Maneno hayo ameyasema wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za chama hicho Kijitonyama...

No comments

Powered by Blogger.