Header Ads

NEWS: CHARLSE MKWASA AIZUNGUMZIA AFCON AMEWAPA UJUM.....(SOMA ZAIDI)


Mkwasa amesema Misri wanahitaji sare ili wafuzu kwa fainali hizo, lakini hawataipata kupitia mgongo wa Taifa Stars.
Misri inaongoza kundi G ikiwa na alama saba, ikifuatiwa na Nigeria wenye alama mbili huku Taifa Stars ikiwa na alama moja na hivyo inahitaji kuifunga Misri ili kufufua matumaini ya kufuzu kwa fainali hizo za AFCON.
Taifa Stars itamaliza mechi zake za kufuzu kwa fainali za AFCON 2017 kwa kucheza na Nigeria mwezi September mwaka huu mjini Abuja.

No comments

Powered by Blogger.