Header Ads

NEWS:MAMA WESEPU AWAPA UKWELI WANAO SEMA WEMA ANASHEPU BANDIA KWA KUWAO.....(SOMA ZAIDI)

Siku za karibuni kumekua na picha nyingi zmesambaa zikimwonyesha Wema Sepetu akiwa na umbo ambalo watu wengi hawakulielewa na wengi walikimbilia kusema kua Wema anatumia dawa za mchina kungeza makalio. Team Wema wengi walijitokeza na kumtetea Wema kua zile picha zilikua Edited huku wengine wakimlaumu Wema kwa hali aiyofikia.

No comments

Powered by Blogger.