Header Ads

NEWS: ZITTO AJITOA KIMASOMASO MBELE YA POLISI KWA MAA.....(SOMA ZAIDI)

Mbunge wa Kigoma mjini mh.Zitto zuberi kabwe, wiki iliyoisha alijikuta akiwa kwenye sakata la mahojiano na maafisa wa Polisi kwa muda wa masaa matatu kwa maswali ya kina.Katika kikao cha siri kilichofanywa

na uongozi na kamati  kuu ya nguli huyo wa siasa wa Act ,Alisema polisi wananiandama na kutaka kuniweka ndani.  "Mahufuli ameenda rwanda na taarifa ninazo na kilichompeleka huko ni kutaka kujifunza mbinu za kuwazuwia wapinzani" alisema Zitto

No comments

Powered by Blogger.