Header Ads

NEWS: TAZAMA MUONEKANO MPYA WA CHIDI BENZI BAADA YA KUSAINI WCB NA KUTOKA ........(SOMA ZAIDI)


 
Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya.

No comments

Powered by Blogger.