Header Ads

NEW: NUH MZIWANDA AMPA SOMO SHILOLE KWENYE JIKE SHUPA YA........(SOMA ZAIDI)

Msanii wa musiki wa kizazi kipya Nuh mziwanda ,ambae alikuwa kwenye headline za vyombo vya habari ambavyo alikuwa anajulikana kuishi kimapenzi na mwanamziki mwenzake wa kike Shilole.

Nuh mziwanda ameripotiwa kua kwa sasa yeye na mwandani wake huyo wako tena kwenye mapenzi.Shilole hataki kabisa kumuona mziwanda hivyo pia kwa mziwanda na haijajulikana zaidi .lakini wawili hao wamekuwa ni watu wa kurusshiana madogo ya kila aina.
Nuh mziwanda ameachia nyimbo mpya"jike shupa" ambayo amemshirikisha king wa bongo flever Alikiba,na ndani ya mwimbo huo kulisemekana kuwa amezungumziwa shishi baby licha ya nyimbo hiyo kuzngumzia mtu aliekuwa anaishi kwenye mapenzi ya kupigwa.
Video  ya jike shupa inamuonekana wa mwanamke ambae amefanana na aliekuwa mwandani wake na wakati huo shilole anatamba na nyimbo yake "Say my name" na huwenda msanii huyo akarudisha mapigo kama ilivyo stail ya wasanii wa bongo kwa mwaka 2016 ambayo tumeona Ney wamitgo akilifanya hilo kwa wasanii wote alio wazungumzia.

No comments

Powered by Blogger.