ALSHABABU WAIVAMIA KENYA WAANZA NA KITUO CHA MAWASILIANO 7/29/2016 09:00:00 PM Washukiwa wa kundi la Al-Shabaab mapema leo Alhamisi wameshambulia na kulipua mtambo wa mawasiliano ulioko katika mji wa Fino, Lafey kat...Read More
PAPA AISHIWA NGUVU NA KUANGUKA, DOKTA AKATISHA TAMAA. 7/29/2016 08:00:00 PM POLAND: Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, ameanguka ghafla wakati akiwa anaongoza misa, baada ya kujisikia vibaya. Ina...Read More
TP MAZEMBE YAIPA MATUMAINI YANGU KUPATA USHINDI KWENYE MICHUANO 7/29/2016 05:00:00 PM Maombi na furaha ya watanzania wote wazalendo ni kuona Yanga ikifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la sh...Read More
CHADEMA WATANGAZA KUPAMBANA NA UDIKTEKTA (UKUTA) 7/29/2016 03:00:00 PM Leo Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya kikao chake katika Hoteli ya Bahari Beach Ledger Plaza. Mojawapo ya Maazimio ya Kikao hicho ni kuun...Read More
PETITMAN WAKUACHE AMRUDIA ESMA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ. 7/27/2016 01:30:00 PM Utata uliokuwepo kati ya wapenzi wawili Petitman na mama watoto wake umekwisha baada ya vuta nikuvute ya familia hizo mbili. Mama mzazi ...Read More
AUNT EZEKIEL, AKIMBILIA GYM AFOHIA KUTEMWA NA MOUZE IYOBO 7/27/2016 12:00:00 PM Staa wa filamu, Aunt Ezekiel aliye katika mapenzi na Dansa Moses Iyobo, ameamua kukimbilia gym kwa ajili ya kupunguza unene unaomuandama...Read More
JAMAA AINGIA NA BODABODA KWENYE MWENDO KASI ..MMMMH DAR NOUMA SANA 7/25/2016 10:00:00 PM Bado haijafahamika vizuri nini kiliendelea mpaka wahusika wa Mabasi ya Mwendo kasi pamoja na dereva kuruhusu piki piki kuingia kwenye ...Read More
LULU, HIKI NDIO CHAMA CHANGU JAMANI... 7/25/2016 08:00:00 PM Alipoulizwa yeye shabiki wa chama gani cha siasa?, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alijibu hivii; "Mimi sina chama, ndiyo maana hata katik...Read More
LULU, MIMI NA MAMA KANUMBA HATUNA CHUKI KATI YETU. 7/25/2016 07:00:00 PM STORI zilivuma na bado vuguvugu linaendelea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu uhusiano wa staa wa kike katika filamu za Kibon...Read More
NEWS, JACKLINE WOLPER AHAMIA CCM RASMI AMTEMA LOWASA 7/25/2016 06:00:00 PM Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyakuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiu...Read More
KIKWETE, AMKABIDHI MAGUFULI MAJIPU YA CCM 7/25/2016 05:00:00 PM Mwenyekiti mstaafu wa CCM Dkt Jakaya Kikwete, amekabidhi nafasi ya uenyekiti wa chama hicho kwa Dkt John Pombe Magufuli, huku akimtaka ...Read More
NEWS, MH JP MAGUFULI ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM 7/25/2016 04:00:00 PM Katika Mkutano Mkuu wa CCM unaoendelea leo mjini Dodoma, CCM wamemchagua Rais John Pombe Magufuli kuwa Mwenyekiti wa tano wa Chama cha ...Read More
MZEE MAKAMBA, GWAJIMA NAAMINI ANALAANA KWA KUMTUKANA KADINALI 7/25/2016 03:00:00 PM Mzee Makamba anadai kuwa Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo. Na kwa tafsiri ya kiafrika mtu mwenye laana siku zo...Read More
JK, KIUKWELI HAIKUWA RAHISI KUMSHAWISHI JPM KUWA MWENYE KITI WA CCM 7/25/2016 02:00:00 PM Mwenyekiti wa CCM anayemaliza muda wake anasema kuwa alitumia kila aina ya ushawishi ili Magufuli akubali kumpokea kijiti kabla ya Novem...Read More
VIGOGO WA MISITU WOTE NI MAJIPU WATUMBULIWA 7/25/2016 01:00:00 PM SERIKALI imemuondoa katika nafasi yake Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Gerald Kamwenda na wakurugenzi wenzake, katika ...Read More
HAKUNATENA KUTUMIA MAFUTA YA 'KY' NI MARUFUKU. 7/25/2016 12:00:00 PM Mjadala mkali umeendelea nchini Tanzania Kufuatia waziri wa afya wa nchi hiyo kupiga marufuku utumiaji na usambazaji wa vilainishi vinav...Read More
JUVENTUS YATHIBITISHA POGBA ATATUA MAN U MSIMU HUU. 7/22/2016 11:30:00 PM Jose Mourinho ametoa kidokezo cha karibuni zaidi kwamba Manchester United wanataka kumnunua tena Paul Pogba kutoka Juventus ya Italia. ...Read More
BODI YA TANZANIA YATOA HATMA YA ML.KILIMANJARO. 7/20/2016 03:00:00 PM Bodi ya Utalii Tanzania imetoa taarifa kufafanua kuhusu Mlima Kilimanjaro baada ya shirika moja la habari la Marekani kudaiwa kuchapi...Read More
MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASA NI MAKUBWA ZAIDI KULIKO KAWAIDA. 7/20/2016 02:00:00 PM Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo ...Read More