Header Ads

HARMONIZE! AWAJIBU WANAOSEMA ANAM "COPY" DIAMOND PLATNUMZ.........

Msanii kutoka wcb, Harmonize amewabwatukia wale wanaomtupia maneno ya kishamba kuhusiana na yeye eeti anamkopi sana Diamond Platnumz



kupitia Mtandao wa kijamii wa Instagram kwenye akaunti yake ameyaweka wazi hayo,Msanii uyo baada ya kuonekana kwenye video ya INDE ya dully sykes.


"Mhhh copy! copy! copy!..... mwisho wa siku hata ukinya utaambiwa kunya kama wewe usimcopy @diamondplatnumz ebwana mzee #simbaa video ijayo wacha nianze kuvaa Dera maana nguo zote ushazivaa 😃😃😃 #INDE in my BIO though😊" Aliposti hivyo

No comments

Powered by Blogger.