KIKWETE, AMKABIDHI MAGUFULI MAJIPU YA CCM 7/25/2016 05:00:00 PM Mwenyekiti mstaafu wa CCM Dkt Jakaya Kikwete, amekabidhi nafasi ya uenyekiti wa chama hicho kwa Dkt John Pombe Magufuli, huku akimtaka ...Read More
NEWS, MH JP MAGUFULI ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM 7/25/2016 04:00:00 PM Katika Mkutano Mkuu wa CCM unaoendelea leo mjini Dodoma, CCM wamemchagua Rais John Pombe Magufuli kuwa Mwenyekiti wa tano wa Chama cha ...Read More
MZEE MAKAMBA, GWAJIMA NAAMINI ANALAANA KWA KUMTUKANA KADINALI 7/25/2016 03:00:00 PM Mzee Makamba anadai kuwa Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo. Na kwa tafsiri ya kiafrika mtu mwenye laana siku zo...Read More
JK, KIUKWELI HAIKUWA RAHISI KUMSHAWISHI JPM KUWA MWENYE KITI WA CCM 7/25/2016 02:00:00 PM Mwenyekiti wa CCM anayemaliza muda wake anasema kuwa alitumia kila aina ya ushawishi ili Magufuli akubali kumpokea kijiti kabla ya Novem...Read More
VIGOGO WA MISITU WOTE NI MAJIPU WATUMBULIWA 7/25/2016 01:00:00 PM SERIKALI imemuondoa katika nafasi yake Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Gerald Kamwenda na wakurugenzi wenzake, katika ...Read More
HAKUNATENA KUTUMIA MAFUTA YA 'KY' NI MARUFUKU. 7/25/2016 12:00:00 PM Mjadala mkali umeendelea nchini Tanzania Kufuatia waziri wa afya wa nchi hiyo kupiga marufuku utumiaji na usambazaji wa vilainishi vinav...Read More
MO DEWJI AAMUA KUUGAWA UTAJIRI WAKE KWA WASIO JIWEZA 7/25/2016 11:35:00 AM MKURUGENZI Mtendaji wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL Group), Mohammed Dewji, ameungana na matajiri wakubwa d...Read More
JE? WAJUA KUWA POMBE INASABABISHA UGONJWA WA SARATANI. ANGALIA IWANGO VYA KUNYWA. 7/23/2016 11:00:00 AM Watafiti wa afya kupitia jarida la Addiction wamedai kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya unywaji wa pombe na aina saba za saratani. Aidha...Read More
KIKWETE AMTINGISHA MH. MAGUFULI KWENYE CHAMA 7/23/2016 10:00:00 AM JAKAYA Kikwete, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) anayemaliza muda wake amemtahadharisha mwenyekiti mtarajiwa wa Chama hicho John M...Read More
NYANGUMI AIBUKA NA KUTAKA KUZAMISHA MELI YA WATALII AUSTRALIA 7/23/2016 12:00:00 AM Ni mandhari ya kupendeza sana... Utadhani maonyesho.. Ni wakati nyangumi mmoja aliporuka juu kutoka ndani ya maji ,mita chache tu kuto...Read More
JUVENTUS YATHIBITISHA POGBA ATATUA MAN U MSIMU HUU. 7/22/2016 11:30:00 PM Jose Mourinho ametoa kidokezo cha karibuni zaidi kwamba Manchester United wanataka kumnunua tena Paul Pogba kutoka Juventus ya Italia. ...Read More
TRUMP APANIA KUMALIZA UHALIFU MAREKANI. 7/22/2016 11:00:00 PM Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump ameahidi kumaliza uhalifu na ghasia nchini Marekani iwapo atachaguli...Read More
TANZIA.MCHEKESHAJI 'KUNDAMBANDA' AFARIKI DUNIA. 7/22/2016 10:00:00 PM Mchekeshaji Ismail Issa Makombe ‘Kundambanda’ amefariki dunia usiku wa kuamkia Ijumaa hii baada ya kusumbuliwa na matatizo ya tumbo kwa m...Read More
LULU, MI SIJAWAHI KUTOKA NA ALIKIBA MBONA MNAZUA TU 7/22/2016 09:00:00 PM Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekanusha tetesi ya muda mrefu ya kutoka kimapenzi na hit maker wa wimbo ‘Aje’ Ali Kiba. Mui...Read More
ALIKIBA NA BARAKA DA PRINCE WAVAMIWA NA MAJAMBAZI SOUTH AFRIKA. 7/22/2016 08:00:00 PM WANAMUZIKI wawili maarufu nchini Ali Kiba na Baraka Da Prince wanaosimamiwa na lebo ya Rockstar 4000 jana Julai 20, 2016 walivamiwa na ma...Read More