SNURA, KAMA NISINGEKITUMIA KIUNO CHANGU NISINGEKUWA HAPA KIMUZIKI 8/11/2016 08:00:00 PM Msanii Snura ambaye mara nyingi amekuwa akikumbwa na rungu la BASATA kutokana na video zake ambazo zinakuwa na utata, amesema mauno amb...Read More
HARMONIZE AKANA KUCHUNWA PESA NA MPENZI WAKE..... 8/11/2016 07:00:00 PM Mwanamuziki wa Bongo Flava anayesimamiwa na Wasafi, Harmonize, amekanusha kuchunwa pesa na mpenzi wake Jackline Wolper kutokana na ...Read More
ALIKIBA ATAPELI WAKENYE, SHADIDI WAKE APATIKANA, hii ni aibu kubwa 8/11/2016 06:00:00 PM Kashfa! Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ anadaiwa kuwatapeli Wakenya baada ya kupewa Sh. Milioni 33 kwa ajili ...Read More
KUFANYA MAPENZI NA BINAMU NI HALALI KENYA..mahakama yapitisha 8/11/2016 05:30:00 PM Mahakama ya juu nchini Kenya imehalalisha ngono baina ya mabinamu kwa sababu inakubalika katika baadhi ya jamii nchini humo....Read More
JADA WA BONGO MOVIE, APOTEZA KUMBUKUMBU....Watanzania waombwa kumuombea. 8/11/2016 04:51:00 PM Msanii aliekuwa anachipukia na kuja kwa kasi kwenye tasnia ya uigizaji hapa nchini JADA.amepoteza kumbukumbu zake akiwa anashoot. Mtunz...Read More
JB ATANGAZA KUSTAAFU KUIGIZA MOVIE 8/09/2016 04:00:00 PM Msanii wa kuigiza nchini JACOB STEVEN atangaza kustafu rasmi,Kufuatia mtandao wa kijamii wa Instagram msanii huyo aliandika maneno yaliyo...Read More
POGBA ATOA YA MOYONI BAADA YA KUTUA MANCHESTAR UNITED 8/09/2016 03:00:00 PM MANCHESTER UNITED imekamilisha usajili wake kwa kiungo wa kati akitokea JUVENTUS,Poul Pogba ambae ndio mchezaji wa pekee alievunja rekodi...Read More
NEW(AUDIO) SHILOLE FT MAN FONGO- MTOTO MDOGO ( LISTEN & DOWNLOAD) 8/09/2016 02:29:00 PM Karibu kuipakuwa nyimbo mpya iliyomkutanisha (Shilole na Man Fongo a.k.a Hainaga ushemeji),MTOTO MDOGO ndio jina rasmi la nyimbo hiyo,Ku...Read More
RAYMOND AIZUNGUMZIA STYLE YAKE MPYA YA NYWELE 8/08/2016 04:00:00 PM "Nimeona comments nyingi kuhusu rasta nilizoweka lakini naomba watu waelewe kwamba haikuwa style yangu na wala sina mpango wa kufug...Read More
DIAMOND PLATNUMZ ANALIPA FADHILA KWA CHID BENZ 8/08/2016 03:00:00 PM Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diamond Platnumz amesema anafanya hivyo kwa Chid Benz kutokana na kitendo alichomuony...Read More
WAZAZI WAMUUWA MTOTO KWA KIPIGO.. KISA KIKO HAPA 8/08/2016 02:00:00 PM MWANAFUNZI aliyekuwa akisoma Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Zimba, Bonde la Ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga, Susana Kauz...Read More
HIRIZI YA TIFFA YAIBUA MZOZO KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA 8/08/2016 01:30:00 PM Mtoto wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tiffah Dangote Agosti 3, mwaka huu ametimiza mwaka mmoja lakini jipya lililoibuka ...Read More
TAKUKURU YAFAFANUA INSHU YA AVEVA SIMBA 8/08/2016 12:00:00 PM TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imefunguka rasmi sababu za kumshikilia na kumweka ndani Rais wa Simba, Eva...Read More
MASOMO YA SAYANSI SASA YATAKUWA MASOMO YA LAZIMA MASHULENI 8/08/2016 10:00:00 AM SERIKALI imetangaza mwongozo mpya kuwa kuanzia sasa masomo ya sayansi ni lazima kusomwa na wanafunzi wote wanaosoma elimu ya sekondari k...Read More
MH.JANUARY MAKAMBA, KUNA ADUI MWINGINE AMEONGEZEKA 8/08/2016 10:00:00 AM Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano), January Makamba amesema tangu nchi ipate uhuru miaka 50 iliyopita, maad...Read More