Header Ads

NEWS:WITNES & OCHU SHEGGY WAANZISHA KAMPENI ZA KUZUWIA MIMBA ZA UTOTONI (SOMA ZAID)


Witnesz na Ochu Sheggy kupitia SAVE THE CHILDREN wamefanya wimbo wa kuelimisha na kupinga ndoa za utotoni, akizungumza na waandishi wa habari jana ambapo walikuwa wakizindua wimbo huo wa SHARIFA. Witnesz alisema kuwa yeye pamoja na mwenzake wameamua kufanya hivyo kwani wanapenda sana kufanya mambo ya kijamii na tatizo la ndoa za utotoni lipo kwa kasi kubwa zaidi kijijini, hivyo wako katika harakati za kuweza kuwafikia walengwa haswa ili kuweza kuwaelimisha na kuacha kuwaozesha ma binti wakiwa na umri mdogo.  TazamFI

Email
Facebook
Google+
Twitter

No comments

Powered by Blogger.