Header Ads

NEWS:SHILOLE ATIMIZA AHADI YAKE KWENYE MZIKI ...(SOMA ZAID)



Siku zote wataalamu wa mambo wanasema kuwa msanii mkali ni lazima awe na gari kali, sasa time hii msanii mwenye hit single iitwayo Nyang’anyang’a shilole leo March 20, 2016 kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliweza kushea nasi video ikionesha gari lake jipya aina ya Harrier na kusema bye bye Mark X.


.


Thanks God my new ride in town
A video posted by Shishi bybee /she roll it (@shilolekiuno) on Mar 20, 2016 at 3:36am PDT
Kama ulimiss Shilole alivyokuwa Muhudumu wa Hoteli na kumtongoza Ray



Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE


RELATED ITEMSSHILOLE COMMENTS ← PREVIOUS STORY Cyril Kamikaze kaguswa na headlines za Mkali wa Hip Hop Chid Benz, kayaandika haya NEXT STORY

No comments

Powered by Blogger.