Header Ads

Nes:RAIS JP MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WAPYA WA MIKOA 26 NA KAULI NZITO (SOMA ZAIDI)

March 13 2016, Rais John Pombe Magufuli aliwateua wakuu wapya wa Mikoa 26 Tanzania bara,  ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwakatika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe. Leo March 15 2016 Ndio siku wakuu hao wamefika Ikulu Dar es salaam na kula viapo vya utii mbele ya Rais Magufuli.Anne Malecela, Paul Makonda na John MalecelaNaibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Seleman Said JaffoMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest ManguWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella KairukiSaid Meck Sadiki.Rais John Pombe Magufuli kabla ya kuanza kuwaapisha wakuu wapya wa MikoaRais Magufuli akimuapisha Anne MalecelaRais Magufuli akimuapisha Mkuu wa mkoa Dae es salaam Paul MakondaRais Magufuli katika picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri na Makamu wa RaisBaadhi ya Wakuu wa Mikoa wakisaini hati za Viapo     



No comments

Powered by Blogger.