Header Ads

NEWS: SIMBA SC MBELE KWA MBELE, YAJIZATITI KILELENI BAADA YA KUINYUKA COASTAL UNION 2-0

VPL, Ligi Kuu Vodacom, imeendelea Leo kwa Mechi 3 huku Vinara wake Simba SC wakiinyuka Coastal Union 2-0 huko Mkwakwani Jijini Tanga na kuzidi kupaa kileleni na huko Songea Majimaji kuinyuka Mbeya City 3-1 wakati Stand United ikitoka sare ya 1-1

Simba SC
Bao 2 za Danny Lyanga na Hamisi Kiiza zimeipaisha Simba na sasa wnaongoza VPL wakiwa na Pointi 57 kwa Mechi 24 wakifuatiwa na Yanga wenye Pointi 50 kwa Mechi 21 na Azam FC wapo Nafasi ya 3 wakiwa pia na Pointi 50 kwa Mechi 21.

Huko Songea, Majimaji FC imeinyuka Mbeya City 2-1 na kushika Nafasi ya 8 wakiwa na Pointi 27 huku Mbeya City wakiwa Nafasi ya 11 na wana Pointi 24.

RATIBA LIGI KUU YA VODACOM
Jumapili Machi 20

African Sports v Tanzania Prisons
Jumatatu Machi 21
Mgambo JKT v Toto Africans
Alhamisi Machi 24
African Sports v Toto Africans
MSIMAMO WA LIGI YA VODACOM
NamePWDLGFGAGDPts
Simba SC24183343133057
Young Africans21155151114050
Azam FC21155137132450
Mtibwa Sugar22116526151139
Tanzania Prisons239952120136
Mwadui FC239772219334
Stand United2494112022-231
Majimaji2476111633-1727
Ndanda FC2351082024-425
Kagera Sugar2467111725-825
Mbeya City2466122333-1024
Toto Africans225891930-1123
JKT Ruvu2356122337-1421
Mgambo JKT2348111828-1020
African Sports2355139

No comments

Powered by Blogger.