Header Ads

NEWS;NAIBU WAZIRI ATUMBUA MAJIPU 3 UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Hamad Masauni amewasimamisha kazi watumishi wa tatu wa jeshi la Polisi kikosi cha zimamoto wa Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa kosa la kuiba mafuta ya ndege na kuiba mizigo ya abiria hali inayohatarisha usalama wa abiria na mali zao.

No comments

Powered by Blogger.