Header Ads

NEWS;BABU TALE AGUSWA NA AFYA YA CHIDI BENZI AAMUA HAYA KWAAJ...........[SOMA ZAIDI}

Babu Tale ni meneja wa kundi la Tiptop Connection na pia ni meneja wa Diamond Platnumz ambapo stori kubwa iliyomuweka kwenye headlines kuanzia March 21 2016 ni uamuzi wake wa kumsaidia rapper Chidi Benz aliyekiri kutumia dawa za kulevya, uamuzi huu umepigiwa makofi hata na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, tazama hii video hapa chini upate full details

No comments

Powered by Blogger.