Header Ads

NEWS: JE?! NIKWELI MAGUFULI KAWAPUNGUZIA ULINZI ..ALHSAN.MKAPA.JK.HABARI KAMILI IKO HAPA (SOMA ZAIDI)


Kwenye Gazeti la JamboLEO, toleo namba 2381 la tarehe 15 March 2016 limechapisha taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho “Magufuli awapunguzia ulinzi marais wastaafu”Taarifa yake kamili ipo katika ukurasa wa nne na inaeleza kuwa Rais Magufuli amewapunguzia ulinzi Marais wastaafu na imewataja marais hao kuwa ni Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete.Ikulu inapenda kuwataarifu watanzania kuwa taarifa hizo sio za kweli na inalitaka gazeti hilo kukanusha habari hiyo mara moja, vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.Taarifa iliyotolewa kupitia kwa kaimu mkurugenzi wa mawasiliano, IKULU Gerson Msigwa ni kwamba pia IKULU inasisitiza kwamba Watanzania wanatakiwa kufahamu kuwa utaratibu wa ulinzi wa Marais wastaafuhaujabadilishwa.A

No comments

Powered by Blogger.