Header Ads

NEWS:AMCHANA DADA AKE KUOKOA MTOTO ALIKUWA TUMBONI BAADA YA KUKOSA MSAADA AKIWA HOSPITAL WAKATI WAHUSIKA HAWAKUWA ENDEO LA KAZI (SOMA ZAIDI)


Habari hizi sina skitisha sana ...tukio limetokea bara la africa nchi ya cameroon mwanamke kampeleka dada ake aliekuwa njamzito wa kujifunguaila kituo kilichokuw krb nae hakijuwa na msaada wakutosha..hapankuwa na wasaidizi zaid ya mlinzi aliekuwa mlangon kitu kilichipekelea Dada yule kupoteza uhai wake (mjamzito) hali iliyomuwea vgum mdgo wake na kuamua kutumia roho ya kijasili kwa kumchana tumbo dada ake na kuokoa kiumbe kikichokuwa tumboni...jaribio likifanikiwa na myoto alitoka salama kabisa....KITENDO HICHO KIMEPELEKEA WAHUSIKA WAHOSPITAL HIYO KUFUNGULIWA MASHTAKA.ndugu zetu madaktari tunaitaji huruma yenu mda wte....

No comments

Powered by Blogger.