Header Ads

DJ FETTY WA CLOUDS ATANGAZA KUACHA KAZI >>ADAM MCHOVU ANENA YAKE >>PICHA NA MAELEZO ZAIDINNIMEKUWEKEA PIA..


Jina lake ni Fatma Hassan aka DJ Fetty, moja ya Watangazaji ambao wamepata majina makubwa sana TZ na East Africa kutokana na kazi ya Utangazaji ambapo ana mchango mkubwa pia kwenye muziki wa Bongo Fleva kama Mtangazaji wa show ya Entertainment,XXL ya Clouds FM.
               
     
.



Ndani ya Studio ya Clouds FM, hapo yukoKennedd, Adam Mchomvu, DJ Zero, B
Dozenna DJ Fetty.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa


Powered by Blogger.