Header Ads

P-SQUARE WANUNUA MJENGO MPYA>>PICHA>.MAELEZO YOTE HAPA

Mapacha wawili, Peter na Paul watoto wa Marehemu Chief Moses Okoye, Dunia inawafahamu kwa jina la P Square kupitia sanaa ya muziki wanaoufanya… kwenye moja ya Interview wakiwa Nigeria waliwahi kusema moja ya vitu wanavyoviogopa sana ni UMASKINI !! Hicho kinawafanya wajitume sana kwenye kazi yao

 Unaambiwa mwaka 2014 jamaa walinunua nyumba mbili za kuishi ndani ya Atlanta Marekani… lakini story kuhusu wao kwa siku ya leo inahusu jamaa kununua apartment nyingine tatu, yani ndani ya ghorofa moja kuna apartment zao tatu ambazo wamezinunua kwa ajili ya makazi yao, Peter, Paul na kaka yao ambae ndio Manager wao pia, Jude ‘Engees’ Okoye.
Powered by Blogger.