ASKOFU KWAJIMA AMEYAJIBU HAYA>>>Rushwa kwa Maaskofu, uongo, Dk. Slaa, mke na watoto.. Lowassa na mengine..
Siku chache baada ya aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa kutangaza kwamba ameamua kuachana na Siasa, hiyo ilikuwa siku kadhaa baada ya Dk. Slaa
kutoonekana kwenye Mikutano pamoja na Vikao vya CHADEMA pamoja na Vyama
vya UKAWA, stori ambazo zinamtaja yeye bado hazijaacha kuibuka.

Post a Comment