Header Ads

BAADA YA 40:SURA YA MTOTO WA DIAMOND NA ZARI(TIFFA) NDO YAONESHWA>>PICHA ZOTE HAPA

Zimeshatimia siku 40 toka mtoto wa Diamond Platnumz na Zarinah Hassan azaliwe, anaitwa Tiffah…. ambapo siku hii kubwa ilikumbukwa na nyumbani kwa Diamond watu mbalimbali wakaalikwa kama ilivyo kwenye utaratibu

                                                                 
Ustaa wa Diamond Platnumz na Zari umeshawishi mpaka kampuni kubwa za kibiashara kuingia mkataba wa malipo kutumia jina na picha za Tiffah kibiashara ambapo mtoto huyu ambaye ndio kwanza katimiza siku 40 za kuzaliwa, tayari ni balozi wa maduka ya nguo za watoto Dar es salaam lakini pia picha yake ya kwanza imeonyeshwa ikiambatana na udhamini wa benki


Powered by Blogger.