PICHA ZA JANGWANI , DIAMOND, WEMA, FA, MWASITI -Kwa CCM
Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCMkuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada waCCM kutoka katika tasnia ya filamu na wasanii wa bongofleva pia walikuwepo licha ya kutokana na ufinyu wa muda waliopata nafasi ya kuperform hadi sasa ni Peter Msechu, Yamoto Band na Diamond Platnumz sambamba na timu ya watu wake
Kwa upande wa wasanii wa filamu na baadhi ya wasanii wa muziki wa bongofleva wao walipanda katika stage na kuimba wimbo wa taifa kwa pamoja.Hizi ni picha zingine kutoka Jangawani
Post a Comment