KWELI LOWASA KIBOKO YAO, HEBU CHEKI KIFAA KILICHOTUMIKA KUPIGA PICHA ANGANI HAKIJAWAHI ONEKANA BONGO...!!
Mgombea
urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Ukawa, Mh Edward Lowassa akiongea
na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza katika uzinduzi wa Kampeni za
Ukawa katika viwanja vya Jangwani mapema leo.Mh Lowassa amesema
kipaumbele chake kimoja wapo ni Elimu huku akisisitiza kuwa kampeni zao
zitakuwa ni za busara na hekima bila kutumia matusi
Post a Comment