DR. JOHN POMBE MAGUFULI:WATENDAJI WAZEMBE NA WABADHIRIFU WAJIANDAE KUFUKUZWA KAZI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mjini Sumbawanga mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mkubwa wa Kampeni kwenye uwanja wa Nelson Mandela
.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi wa mjini Sumbawanga mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mkubwa wa Kampeni kwenye uwanja wa Nelson Mandela mkutano ambao umehudhuriwa na maelfu ya wananchi waliokuja kumsikiliza mgombea huyo mwenye misimamo thabiti katika utekelezaji wa majukumu yake.Dr. John Pombe Magufuli amewaomba wananchi kumpigia kura za ndiyo yeye pamoja na wabunge na madiwani wa CCM ifikapo Oktoba 25 mwaka huu ili aweze kufanya kazi na kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi zaidi na kuwaletea maendeleo watanzania bila kubagua itikadi zao za kisiasa, Dini na Makabila yao.Amewataka watendaji wa serikali wazembe na wabadhirifu wa mali ya umma kujiandaa kufukuzwa kazi endapo hawatakwenda na kasi yake katika kuwatekelezea mambo muhimu ya maisha na maendeleo kwa ujumla wananchi walio wanyonge. Amesema anajua wapi zinapovujia fedha za serikali hivyo atahakikisha anaziba mianya hiyo ili serikali ipate mapato yake kikamilifu na kuwafanya watoto wa watanzania wanyonge waliowengi kusoma bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne na hilo linawezekana.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi wa mjini Sumbawanga mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mkubwa wa Kampeni kwenye uwanja wa Nelson Mandela(PICHA ZOTE NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-SUMBAWANGA)Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:Share :Facebook Google+ TwitterFacebook Blogger Plugin by Lindi YetuFiled Under: HABARI ZA KITAIFA Thursday, August 27, 2015CodeNirvana›HomeView Web Version
CONTRIBUTORS
By ally almas
Post a Comment