Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee jina lake limeingia kwenye headlines
baada ya kutajwa katika moja kati ya tuzo kubwa Nigeria Entertainment,
Vanessa ametajwa kuwania tuzo zinazoitwa Nigeria Entertainment Awards.
Jina la muimbaji Vanessa Mdee limetajwa katika kipengele cha kuwania
tuzo ya muimbaji bora wa kike, katika kipengele hicho Vanessa anawania
tuzo hiyo na wasanii wengine saba kutoka nchi mbalimbali, Nigeria
Entertainment Awards zitafanyika New York Marekani, September 4 2016

No comments:
Post a Comment