NEW::TAMBWE ABAINISHA SIRI YA MAFANIKIO(UBINGWA) KWENY..........(SOMA ZAIDI)
Mshambuliaji anaeongoza kufunga magoli mengi
kwenye ligi kuu Tanzania Bara Amis Tambwe amesema kutulia mbele ya lango
na kuwa na malengo ndio kunakomfanya mara nyingi aibuke kuwa mfungaji
bora
Hadi sasa Tambwe ameshafunga magoli 21 akiwa mbele ya mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza mwenye magoli 19 na kama atafanikiwa kuibuka kuwa mfungaji bora msimu huu basi hii itakuwa ni mara yake ya pili kufanya hivyo.
Katika hatua nyingine Tambwe amempongeza Donald Ngoma mshambuliaji anaeshirikiana nae kwenye timu hiyo na kusema amechangia yeye kufunga magoli hayo.
Post a Comment