Header Ads

NEWS :MESS KAIFUNGA ARSENAL.2-0. KAWEKA MPYA RECOD KWA CECH(SOMA ZAID)

Usiku wa February 23 klabu ya FC Barcelona yaHispania ilikuwa imesafiri kutoka Hispania hadiLondon Uingereza kukutana na Arsen
al katika mchezo wao wa kwanza wa michuano ya klabu Bingwa barani Afrika, mchezo ambao ulikuwa wa hatua ya 16 bora, hivyo kila timu ilikuwa inahitaji ushindi.
317CE60D00000578-3460765-image-a-13_1456263390157
Mchezo ulimalizika kwa Lionel Messi kuipatia  FC Barcelona ushindi wa goli 2-0, magoli yaLionel Messi yaliofungwa dakika ya 71 na 83, yalifanya mitaa mbalimbali ya LondonUingereza kupooza, kwani ndio makazi ya mashabiki wengi wa Arsenal.
Kwa matokeo hayo Arsenal italazimika kwendaNou Camp kusaka ushindi wa zaidi ya goli mbili ili iweze kuiondoa FC Barcelona na wao watinge robo fainali. Hata hivyo ushindi wa goli mbili kwa Lionel Messi dhidi ya kipa waArsenal Petr Cech, unavunja mwiko wa Messikutowahi kumfunga Petr Cech kwa jumla ya muda wa masaa 1
Powered by Blogger.