Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Hatua Tatu cha Times FM kuwa yeye bado kijana mdogo ndiyo maana ameingia kwenye mahusiano mengine.
“Ni kweli kapata matatizo, lakini mimi nimesha move on nipo kwenye uhusiano na mtu mwingine. Mimi ni kijana mdogo acha tu niendelee na maisha yangu mengine,” amesema Jux.
Kwa sasa Jux ameachia wimbo wake mpya ‘Wivu’ ambao umeanza kufanya vizuri kwenye kwenye redio.
JE? ulipitwa na taarifa yoyote na bado unatamani kuijua Zaidi basi Karibu bado unanafasi ya kupitia yote hayo kwakuwa blog yako imekukumbuka na kukuifadhia mambo haya muhimu.Pitia account hizi ili Uwe karibu zaidi na habari zote Zinapotoka Zikufikie Hapo kwa papo.
FACEBOOK PAGE ....INSTARGRAM....TWITTER.

No comments:
Post a Comment