NEWS: WAALIMU WENYE VYETI FEKI WAOBWA KUJISALIMISHWA MIKONONI MW.......(SOMA ZAIDI)
Nimekutana na hii "barua" mahali.Inavyoonekana muda si mrefu wenye vyeti "vya hapa na pale" wataanza kutafutana.
Likisimamiwa vizuri ni zoezi zuri na lenye tija kwa Taifa. Ila kwa
upande mwingine tujiandae kwa "deficity" ya wale watakao "katwa"
No comments:
Post a Comment