WEMA SEPETU: "MIMI NI TEAM KIBA! SIMPENDI TENA DIAMOND!
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amesema alipokuwa akihojiwa na Sebo
mtangazaji wa EFM, kwenye kipengele kiitwacho Kabali ambapo wema
aliambiwa ajibu maswali kadhaa kama ndiyo au hapana na badaye kupewa
nafasi ya kifafnua
Wame aliulizwa kama bado anampenda Diamond, na kama Zari ni tishio kwake
kwa upande wa fasheni ambapo yote hayo Wema alijibu hapana na kijibu
ndiyo alipoulizwa kama yeye ni Team Kiba.
Akifafanua kuhusu kuhusu kutompenda tena Diamond Wema alisema kuwa kila kimkumbuka Diamond anamkumbuka kwa mengi mabaya .
“Hapana simpendi [Diamond], yalishaisha hayo, nilishampendega, niliwahi
kumpenda sana, lakini hamna tena, yaani hata sishtuki,” Wema alisema.
“Nikimkumbuka Diamond most of the things ambavyo ninavikumbuka sio vitu
vizuri na ndio maana hata sasa hivi imekuwa hivyo. Vizuri vilikuwepo
lakini mtu anaweza akafanya vizuri akaja kufanya kimoja tu kibaya na
akaharibu vyote tisa,” aliongeza.
Kwa upande wa Zari ambaye ni mpenzi wa sasa wa Diamond, Wema alieleza kutoitishika na mwanadada huyo kwenye tasnia ya fasheni.
“[Zari] hanitishi kwasababu yeye ana taste yake, mimi nina taste yangu,
yeye ni Zari mimi ni Wema,” amesema muigizaji huyo. “I got my own, I
like to play along with anything and she got her own.”-Wema alisema.
Zaidi alizungumzia gari aina ya BMW alilipewa mwaka jana na meneja wake
Martin Kadinda kwenye sherehe za siku yake ya kuzaliwa, Wema alisema
kuwa Martin alipita sehemu nyingi na kufanya donation walifanya dada
zake walioko marekenai na yeye hajui ilikuwaje hadi gari likapatikana
pia wema amesema kuwa kwasasa hawezi ku-date na msanii yoyote hapa
Bongo
Post a Comment