DJ ALCHAMA
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Showing posts with label
Movie
.
Show all posts
Showing posts with label
Movie
.
Show all posts
8/22/2016
DIAMOND PLATNUMZ,AZUNGUMZIA MTOTO WA PILI KWA ZARI
›
Mkali wa smash hit iitwayo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari. Taarifa hi...
MTOTO WA BALACK OBAMA,ANASWA AKIVUTA BANGI!
›
Hivi karibuni, Malia alionekana akivuta bangi kwenye tamasha moja maarufu. Kwa mujibu wa tovuti ya RadarOnline, vitendo vya hivi ka...
KASIM MGANGA,TIP TOP WANANIKWAMISHA KIAINA
›
Msanii Kassim Mganga ambaye awali alikuwa ni moja kati ya wasanii kutoka katika kundi la Tip Top Connection amesema ukimya wa kundi hil...
8/21/2016
MO DEWJI, KUANZA NA MISHAHARA SIMBA
›
MFANYABIASHARA anayetaka kununua hisa ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameanza kasi ya kuitumikia klabu hiyo ya Simba kwa ku...
IDRIS SULTAN AANZA KUJILAUMU KWA WEMA SEPETU
›
Msanii wa kuchekesha Idris Sultan amejitoa Rasmi katika mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya kinachosemekana kuwa ni maji ...
ZLATAN IBRAHIMOVIC' AREJESHA FURAHA MANCHESTAR UNITED
›
Ligi Kuu England iliendelea usiku wa August 19 kwa klabu ya Man United kuwakabribisha Southampton katika dimba lao la Old Trafford kuche...
MH:TUNDU LISU AISHANGAZA MAHAKAMA...Kesi yake yavunja rekodi
›
Serikali imeendelea kupigwa mweleka katika kesi ya uchochezi dhidi ya mshitakiwa Tundu Lissu baada ya Mahakama ya Hakimu Mk...
8/17/2016
HARMONIZE! AWAJIBU WANAOSEMA ANAM "COPY" DIAMOND PLATNUMZ.........
›
Msanii kutoka wcb, Harmonize amewabwatukia wale wanaomtupia maneno ya kishamba kuhusiana na yeye eeti anamkopi sana Diamond Platnumz ...
8/15/2016
DUH! MAKONDA AIFAGILIA AWAMU YA TANO ,AIPONDA ILE YA JK
›
PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli ni bora kuliko serikali ya...
KWELI SHILOLE NI 'JIKESHUPA' APATA DOGODOGO NYINGINE ........Huyu ni mdogo zaidi ya Mziwanda
›
Haya! haya! Tena yule mwanadada mwanamziki wa kizazi kipya 'Shilole' Amezua gumzo lingine tena huko instagram baada ya kutambuli...
OFISI ZA BUNGE KUHAMIA DODOMA SEPTEMBER MWAKA HUU.
›
Ofisi za Bunge zilizopo Jijini Dar es salaam zinatarajia kuhamishiwa Dodoma mwezi Septemba mwaka huu, ikiwa ni utekelezaji wa agiza la Ra...
8/14/2016
PICHA: ZARI AJIACHIA AKIONYESHA UJAUZITO WAKE
›
Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akijiachia kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa p...
BRAZIL YAICHAPA COLOMBIA YATINGA NUSU FINAL OLYMPIC
›
Timu ya soka ya wanaume ya Brazil, imeingia nusu fainali ya michuano ya Olimpiki baada ya kuwachapa Colombia, 2-0. Goli la kw...
8/11/2016
HII NDIO FAIDA YA MCHUZI WA PWEZA KWA MWANAUME NA MWANAMKE....isome kujua undani zaidi.
›
Akizungumza na East Africa Radio katika kipindi cha East Africa Break Fast Prof. Kaale amesema taarifa za utafiti wa wanafunzi wa Muhim...
SNURA, KAMA NISINGEKITUMIA KIUNO CHANGU NISINGEKUWA HAPA KIMUZIKI
›
Msanii Snura ambaye mara nyingi amekuwa akikumbwa na rungu la BASATA kutokana na video zake ambazo zinakuwa na utata, amesema mauno amb...
HARMONIZE AKANA KUCHUNWA PESA NA MPENZI WAKE.....
›
Mwanamuziki wa Bongo Flava anayesimamiwa na Wasafi, Harmonize, amekanusha kuchunwa pesa na mpenzi wake Jackline Wolper kutokana na ...
KUFANYA MAPENZI NA BINAMU NI HALALI KENYA..mahakama yapitisha
›
Mahakama ya juu nchini Kenya imehalalisha ngono baina ya mabinamu kwa sababu inakubalika katika baadhi ya jamii nchini humo....
8/09/2016
NEW(AUDIO) SHILOLE FT MAN FONGO- MTOTO MDOGO ( LISTEN & DOWNLOAD)
›
Karibu kuipakuwa nyimbo mpya iliyomkutanisha (Shilole na Man Fongo a.k.a Hainaga ushemeji),MTOTO MDOGO ndio jina rasmi la nyimbo hiyo,Ku...
8/08/2016
RAYMOND AIZUNGUMZIA STYLE YAKE MPYA YA NYWELE
›
"Nimeona comments nyingi kuhusu rasta nilizoweka lakini naomba watu waelewe kwamba haikuwa style yangu na wala sina mpango wa kufug...
TAKUKURU YAFAFANUA INSHU YA AVEVA SIMBA
›
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imefunguka rasmi sababu za kumshikilia na kumweka ndani Rais wa Simba, Eva...
›
Home
View web version