
Taarifa hizo staa huyo alizitoa leo August 21, 2016 kwenye mtandao wake wa instagram na kuyaandika haya:
Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike’‘Halaf mtoto nae Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya mtoto wakiume.. basi unajionea Mashia Muruaaaaaaaaaaaaaaaa๐๐๐๐๐…Lol yani Hapa najikuta kama sjui Biligeti Mzee wa Kwio๐๐ ๐๐๐๐๐ Mi nampenda huyu dada’– Diamond Platnumz
No comments:
Post a Comment