WEMA SEPETU AVUNJA RECODI BONGO MASTAA WAMSHANGAA HUKO INSTAGRAM.
Baada ya Mwanamuziki Diamond Platnumz Kuvunja Record ya kuwa msanii wa
kwanza kufikisha wafuasi Million mbili kwenye Instagram Africa Mashariki
, sasa Wema Sepetu nae amekuwa mwanamke wa kwanza kufikisha idadi hiyo
ya followers million 2 kwenye mtandao wa Instagram,
No comments:
Post a Comment