JAMAA AINGIA NA BODABODA KWENYE MWENDO KASI ..MMMMH DAR NOUMA SANA
Bado haijafahamika vizuri nini kiliendelea mpaka wahusika wa Mabasi ya
Mwendo kasi pamoja na dereva kuruhusu piki piki kuingia kwenye basi la
mwendo kasi sambamba na Abiria...
Picha hii leo umekuwa ikizunguka sana mitandaoni na kila mtu kuuliza kunani?
No comments:
Post a Comment