Header Ads

NEWS.PICHA 10 ZA MAGUFULI AKIWA IKULU BAADA YA KUTANGAZA KUWA RAISI PICHA ZOTE HAPA

Ni siku ambayo tayari historia imeandikwa kwenye vichwa vya Habari za Siasa Tanzania ambapo Dk. John Pombe Joseph Magufuli ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Urais kwenye Uchaguzi mkuu uliofanyika October 25 2015.

Rais JK na Dk. Magufuli ndani ya Ikulu baada ya matokeo ya Urais kutangazwa October 29 2015
Kwa maana hiyo Dk. Magufuli anakuwa Rais anayekuja kubadili nafasi ya Rais Jakaya Kikwete na kuwa Rais wa awamu ya tano Tanzania, Dk. Magufuli amealikwa Ikulu Dar es Salaam Tanzania na Rais Kikwete na kupongezwa kwa ushindi huo muda mfupi tu baada ya kutangazwa kupitia TV waliyokua wakitazama pamoja








Powered by Blogger.