DJ ALCHAMA
Pages
(Move to ...)
Home
▼
8/14/2016
PICHA: ZARI AJIACHIA AKIONYESHA UJAUZITO WAKE
›
Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akijiachia kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa p...
BRAZIL YAICHAPA COLOMBIA YATINGA NUSU FINAL OLYMPIC
›
Timu ya soka ya wanaume ya Brazil, imeingia nusu fainali ya michuano ya Olimpiki baada ya kuwachapa Colombia, 2-0. Goli la kw...
HARDNAME ft RAYMOND & DARASSA & HARDNAME--SADAKA (OFFICIAL VIDEO)
›
WATCH NEW VIDEO FROM RAYMOND FT DARASSA-SADAKA (OFFICIAL VIDEO) DOWNLOAD HAPA
8/11/2016
HII NDIO FAIDA YA MCHUZI WA PWEZA KWA MWANAUME NA MWANAMKE....isome kujua undani zaidi.
›
Akizungumza na East Africa Radio katika kipindi cha East Africa Break Fast Prof. Kaale amesema taarifa za utafiti wa wanafunzi wa Muhim...
SNURA, KAMA NISINGEKITUMIA KIUNO CHANGU NISINGEKUWA HAPA KIMUZIKI
›
Msanii Snura ambaye mara nyingi amekuwa akikumbwa na rungu la BASATA kutokana na video zake ambazo zinakuwa na utata, amesema mauno amb...
HARMONIZE AKANA KUCHUNWA PESA NA MPENZI WAKE.....
›
Mwanamuziki wa Bongo Flava anayesimamiwa na Wasafi, Harmonize, amekanusha kuchunwa pesa na mpenzi wake Jackline Wolper kutokana na ...
ALIKIBA ATAPELI WAKENYE, SHADIDI WAKE APATIKANA, hii ni aibu kubwa
›
Kashfa! Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ anadaiwa kuwatapeli Wakenya baada ya kupewa Sh. Milioni 33 kwa ajili ...
KUFANYA MAPENZI NA BINAMU NI HALALI KENYA..mahakama yapitisha
›
Mahakama ya juu nchini Kenya imehalalisha ngono baina ya mabinamu kwa sababu inakubalika katika baadhi ya jamii nchini humo....
JADA WA BONGO MOVIE, APOTEZA KUMBUKUMBU....Watanzania waombwa kumuombea.
›
Msanii aliekuwa anachipukia na kuja kwa kasi kwenye tasnia ya uigizaji hapa nchini JADA.amepoteza kumbukumbu zake akiwa anashoot. Mtunz...
8/09/2016
JB ATANGAZA KUSTAAFU KUIGIZA MOVIE
›
Msanii wa kuigiza nchini JACOB STEVEN atangaza kustafu rasmi,Kufuatia mtandao wa kijamii wa Instagram msanii huyo aliandika maneno yaliyo...
POGBA ATOA YA MOYONI BAADA YA KUTUA MANCHESTAR UNITED
›
MANCHESTER UNITED imekamilisha usajili wake kwa kiungo wa kati akitokea JUVENTUS,Poul Pogba ambae ndio mchezaji wa pekee alievunja rekodi...
NEW(AUDIO) SHILOLE FT MAN FONGO- MTOTO MDOGO ( LISTEN & DOWNLOAD)
›
Karibu kuipakuwa nyimbo mpya iliyomkutanisha (Shilole na Man Fongo a.k.a Hainaga ushemeji),MTOTO MDOGO ndio jina rasmi la nyimbo hiyo,Ku...
8/08/2016
RAYMOND AIZUNGUMZIA STYLE YAKE MPYA YA NYWELE
›
"Nimeona comments nyingi kuhusu rasta nilizoweka lakini naomba watu waelewe kwamba haikuwa style yangu na wala sina mpango wa kufug...
DIAMOND PLATNUMZ ANALIPA FADHILA KWA CHID BENZ
›
Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diamond Platnumz amesema anafanya hivyo kwa Chid Benz kutokana na kitendo alichomuony...
WAZAZI WAMUUWA MTOTO KWA KIPIGO.. KISA KIKO HAPA
›
MWANAFUNZI aliyekuwa akisoma Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Zimba, Bonde la Ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga, Susana Kauz...
‹
›
Home
View web version