Pages
▼
5/27/2016
5/25/2016
SOMA MAGAZETI YA LEO MAY 25 KWENYE SPORT,SIASA,BUNGENI,ELIMU........(SOMA ZAIDI)
May 25 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

NEWS(BUNGENI) TUHUMA ZA USHEMEJI WA WAZIRI JENESTER MHANGA ZAINGI......(SOMA ZAIDI)
Kila siku
asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti
ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya
Twitter >>>@allyalmas2.
May 25
2016 tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya
nyingine, moja ya habari kubwa ni kutoka Gazeti la Jambo Leo lenye kichwa cha habari ‘Ushemeji wa Mhagama, Tanzanite One wamtia matatani Mbunge Millya’.
Gazeti
hilo limeeleza kuwa tuhuma za ushemeji kati ya Waziri wa Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenester Mhagama
na mmoja wa wabia wa Kampuni ya Sky Associates inayomiliki Mgodi wa
Tanzanite One zimelisukuma Bunge kumpa siku nne Mbunge wa Simanjiro
‘CHADEMA’ James Ole Millya athibitishe madai yake kwa ushahidi.
5/24/2016
NEWS:RAISI SHEIN ATEUWA WAKUU WA MIKOA ZANZIBAR ......(SOMA ZAIDI)
Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar imesema walioteuliwa ni Mkuu wa Mkoa wa
Mjini na Magharibi ambaye anakuwa Ayoub Mohamed Mahmoud na Mkuu wa Mkoa
wa Kaskazini, Unguja Vuai Mwinyi Mohamed.
Taarifa hiyo imesema Wakuu wa Mikoa ambao Mikoa yao haikutajwa katika taarifa hii wanaendelea na dhamana zao kama kawaida.
Halikadhalika Rais Shein amemteua Marina Joel Thomas kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mjini, Silima Haji Haji kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B, Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A anakuwa Hassan Ali Kombo, Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini B anakuwa Issa Juma Ali, Mkuu wa Wilaya ya Kati Mashavu Sukwa Said, Mkuu wa Wilaya ya Kusini Idrissa Kitwana Mustafa na Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Salama Mbarouk Khatib.
Aidha Wakuu wa Wilaya ambao Wilaya zao hazikutajwa katika taarifa hii wanaendelea na dhamana zao kama kawaida.
Uteuzi wa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya umeanza leo.
Viongozi wote walioteuliwa wanatakiwa waripoti Ikulu, Mjini Unguja, siku ya Jumanne tarehe 24 Mei 2016 mchana tayari kwa kuapishwa.