Usiku wa February 23 klabu ya FC Barcelona yaHispania ilikuwa imesafiri kutoka Hispania hadiLondon Uingereza kukutana na Arsen
Pages
▼
2/27/2016
2/24/2016
2/22/2016
2/21/2016
2/18/2016
2/16/2016
2/11/2016
2/09/2016
2/06/2016
2/04/2016
2/03/2016
2/02/2016
PICHA 4;GARI ATAKAYO NUNUA DIAMOND PLATNUM 2016
Mwimbaji kutoka kwenye muziki wa bongofleva Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview ya DJ ALCHAMA na
kuzungumza vitu vingi sana kuhusu maisha yake na muziki wake ambapo
moja ya maswali aliyoyajibu kwa kujiachia na akiwa ana tabasamu ni
kuhusu kununua gari la ndoto yake.
Platnumz alimwambia DJ ALCHAMA >>> ‘Nataka nibadilishe aina ya gari sababu imekua ni muda mrefu, nafikiri ni muda wa kuwa na gari nililokua nalitamani siku zote, gari la ndoto yangu ni Rolls royce na ndio ninalotaka kulinunua mwaka huu wa 2016 na litakua na jina la PLATNUMZ na sio namba za kawaida’
‘Mbali na kuwa msanii nimeshakuwa C.E.O sasa na kuna baadhi ya vikao ukija na gari ya kitoto huwezi kufanya dili vizuri, kuna baadhi ya sehemu siwezi kwenda naendesha mimi… pia siwezi kuendeshwa nikiwa nimekaa kwenye X6 naonekana kama muhuni tu… ndio maana nikipata Rolls royce inatengeneza heshima‘ – Diamond On DJ ALCHAMA

February 7 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori
zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye
Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa
karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @dj_alchama ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.