Mgombea
urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Ukawa, Mh Edward Lowassa akiongea
na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza katika uzinduzi wa Kampeni za
Ukawa katika viwanja vya Jangwani mapema leo.Mh Lowassa amesema
kipaumbele chake kimoja wapo ni Elimu huku akisisitiza kuwa kampeni zao
zitakuwa ni za busara na hekima bila kutumia matusi
Pages
▼
8/30/2015
8/27/2015
8/24/2015
BASATA YAMJIBU SHISHI BABY KUWA.......
Akiongea na East Afrika Radio Shilole alisema amejiandaa vizuri sana katika shoo ambayo anapaswa kuifanya nchini Marekani siku za karibuni, na alipoulizwa atawezaje kufanya shoo hiyo wakati akiwa amefungiwa na BASATA, Shilole alionekana kupaniki na kubadilika na kumwambia mtangazaji kuwa yeye hataki kuzungumzia suala la adhabu iliyotolewa na BASATA na kusema suala hilo anapaswa kuulizwa mwanasheria wake Albert Msando
8/23/2015
PICHA ZA JANGWANI , DIAMOND, WEMA, FA, MWASITI -Kwa CCM
Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCMkuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada waCCM kutoka katika tasnia ya filamu na wasanii wa bongofleva pia walikuwepo licha ya kutokana na ufinyu wa muda waliopata nafasi ya kuperform hadi sasa ni Peter Msechu, Yamoto Band na Diamond Platnumz sambamba na timu ya watu wake






















